T@FUT@ MCHUMB@ 2019 OWAA

עמוד 1

T@FUT@ MCHUMB@ 2019 OWAA
2019-01-05 21:27:00: Humu ukitoka wenzako wanaingia jmn nawanatamani utoke bas tu awana mawasiliano na admin
2019-01-05 21:33:00: Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/C0KGu7cJS3s47qu0grsyXf TAFADHALI SAMBAZA LINK HII KWENYE MAGROUP MENGINE
2019-01-06 17:17:00: CHAI YA ADMIN Ukipata mke ambaye ukimtazama anakufurahisha, ukimwamrisha anakutii na kukuheshimu, na ukiwa haupo anakulindia mali yako na heshima yako, utakuwa umepata zawadi ghali kabisa katika maisha yako.
2019-01-06 17:17:00: CHAI YA ADMIN …
2019-01-06 19:21:00: Uwe na vyumba vingap
2019-01-06 19:21:00: Uwe na vyumba vingap…
2019-01-06 19:28:00: JITAHIDI USOME NI MUHIMU W666 ipo tayari imeshaanza. Tuombe kwa bidii, 666 ni alama ya mnyama unabii mwishoe umetimizwa.Baraza la senate la marekani imepitisha bili ya Obama ya afya kwenye sheria. Utekelezaji utaanza hivi punde karibuni. Bili hii itahitaji wamarekani wote wawekewe utambulisho wa chip za frequency za radio ilikuweza kupata huduma za kiafya. Kifaa hiki kitawekwa kwenye kipaji cha uso au mkononi . Hii ni kwaajili ya kutimiza unabii katika kitabu cha ufunuo 13:15-18 ihusuyo alama ya mnyama. Bado unamashaka kuhusu nyakati za Mwisho? Unajua yakuwa gari maalum aliyotengenezewa Obama inaitwa BEAST yaani MNYAMA! Kuwa tayari Mwisho ni Karibu. Ufunuo 13 tayari imeanza kutimizwa mbele yetu. Wengi bado hawajui. 1. Kwanini chip au kadii imeshaanza kuwekwa sehemu ambapo biblia ilisema kuwa itawekwa? Kwanini ni kwenye mikono na kipaji cha uso na si sehemu zingine? 2. Kwanini inaunganiswa na account yako ya benki? Kumbuka biblia inasema hutaruhusiwa kuuza wala kununua bila kuwa na chapa ya mnyama 666. Na fikiria kwanini! Alama imeunganishwa na taarifa zako za kibenki. Kinachonivunja moyo zaidi ni kwamba watu wengi kanisani hawatahimili ikiwa Yesu atakuja sasa. Wengi hawajui kwamba Mwisho umekaribia. Usiniambia kuwa ni kukuwa kwa technolojia au maendeleo. Kama eneo lolote katika maisha yako haujafungamana na Mungu tubu na ubadilike. Ukikosa mbingu huwezi kupakosa jehanam.... fikiria kuhusu hilo. Jehanam siyo sehemu nzuri ....kibaya zaidi ni kwamba ni ya umilele . Yeyote mwenye sikio na asikie kile ambacho roho ya unabii inaliambia kanisa. Tafadhali Tuma Kwa Yeyote Umjuaye fanya kazi ya uinjilisti. Tafadhali TUMA UJUMBE HUU KWENYE NUMBER ZOTE ULIZONAZO. Umewahi kushangaa nini kingetokea kama ungeichukulia bibilia kama unavyoichukulia simu ya mkononi? Na kwa hakika hatuwezi kuishi bila kuwa nayo.asilimia 7% watatuma utuma ujumbe huu. Usiwe kati ya asilimia 93% ambao hawatatuma ujumbe huu. Shetani anasema, nashangaa jinsi ambavyo watu wanavyodai wanampenda Mungu na kutomtii yeye, wakisema wananichukia huku wananitii. Usitume baadae soma na utume sasa. Mwenyezi Mungu huwafanikisha wale wasomao na kutuma ujumbe huu. Amin.
2019-01-06 20:18:00: Mpo
2019-01-06 20:21:00: Tupo
2019-01-06 20:21:00: Tuoo
2019-01-06 20:21:00: Tupo
2019-01-06 20:22:00: Mambo zeny
2019-01-06 20:22:00: Poa
2019-01-06 20:23:00: Mzma wew
2019-01-06 20:24:00: Ɔmzim sijui wewe
2019-01-06 20:24:00: Npo poa
2019-01-06 20:27:00: Ɔnambie
2019-01-06 20:27:00: Saf tuu
2019-01-06 22:16:00: Et kwelllllllll
2019-01-06 22:18:00: Mbn kmy mmll
2019-01-06 22:18:00: Watoto wazur mupo
2019-01-06 22:19:00: Itakuwa wamelal
2019-01-06 22:22:00: Hi
2019-01-06 22:22:00: Ho
2019-01-06 22:41:00: Nahamu ya ku
2019-01-06 22:41:00: Nahamu ya ku…
2019-01-06 22:42:00: Kwan we jcia gn
2019-01-06 22:55:00: Wachumba mpoo kweli nataka mchmba nikatoe posa kwao alie tayari aje inbobo
2019-01-06 22:55:00: Mpoo
2019-01-06 22:58:00: Wnaum wa dar mmelall
2019-01-06 23:22:00: Aaah nikweli unaweza ukakuta anataka bwana et
2019-01-07 05:31:00: Tatizo wachumba wenyewe wavivu kupost picha zao
2019-01-07 08:27:00: ASSALAAMU ALAYKUM, HABARI ZA ASUBUHI
2019-01-07 08:28:00: Waalaykum salamu kwema
2019-01-07 08:46:00: Kwema kabisa, mbona grp limepoa sana
2019-01-07 08:47:00: NIRAHISI KUMAUCHA MWANAMKE ANAYEKUPENDA LAKINI KUISHI BILA YEYE NI VIGUMU KULIKO UNAVYODHANI! Mara nyingi mwanaume akishampata mwanamke huanza kuhisi kama hamhitaji tena, hahitaji kumfanyia mambo yale amabyo alikua akimfanyia kabla ya kumtongoza. Anaona amefika hivyo kuamua kuabdilika, kuwa kiburi na kuwaza haendi popote. Labda nikuambie kitu kimoja, unaweza kuona kama haendi popote lakini wanawake ni wavumilivu sana, atavumilia kila kitu, atajaribu kila kitu lakini mwanamke akikuchoka anaweza hata kukuwekea sumu ili kuwa huru kutoka katika mikono yako. Ninachomaanisha hapa nikuwa, mwanamke akikuchoka ataondoka tu, atatafuta mlango wa kutokea na hatageuka nyuma, unaweza kuwaza hata akiondoka si natafuta mwingine, kwanza wanawake wako wengi. Ndiyo ni rahisi sana kutafuta mwingine, wako wengi kuliko sisi, lakini ni vigumu sana kupata ambaye atakupenda, ambaye atakuthamini, unaweza kujikuta unakua mtu wa kutoka mwanamke mmoja kwenda mwingine. Utaona raha mwanzoini lakini kuna kitu kinaitwa umri, hiki huongozana na ndugu yake amabye anaitwa majukumu. Hawa watu wakikaa pamoja na wakianza kukusumbua basi hata ukiletewa wanawake mia ukawekewa mbele yako hutawatamani kwani akili itakua imechakaa. Ndiyo baada ya muda ujana utaisha, wale marafiki wa kuongozana nao kula bata watakua washakua watu wazima wanakukwepa kwakua huna uelekeo. Sasa kuna mtu anaitwa majukumu atakuganda na hutaamini, una watoto sita wote Mama tofauti tofauti, mwanzoni si ngumu sana lakini wakishaanza shule utajikuta unafanya kazi kama chizi na watakuchanganya. Sasa si utasema nawaachia Mama zao, uwe tu na bahati ya kukutana na Mama ambaye anajua kulea, kama nayeye ni umiza kichwa basi utachanganyikiwa. Lakini hata kama utakutana na anayejua kulea ndugu yangu utajiona fala wanao kulelewa na wanaume wengine. Ndiyo pamoja na huyo mwanamke kufanya kazi lakini kuna mwanaume mwingine analea, inaweza isiwe moja kwa moja lakini kama ananunuliwa nguo na mwanaume mwingine basi ile hela ya nguo ndiyo anatumia kulea wanao. Ndiyo umri nao utakua haukuachi, utazeeka huna uelekeo, umeamua kutulia watoto wakubwa hawakutaki kwakua uliwatelekeza, sasa wale wadogo uliozaa na mke mpya ambaye umaemua kutulia naye ni umiza kichwa. Una miaka 55 lakini mtoto wa ndani ya ndoa wa kwanza basi hajaacha kuvaa Pampas. Yes nirahisi kumaucha mwanamke anayekupenda lakini kuishi bila yeye ni vigumu kuliko unavyodhani hivyo kabla ya kujifanya kidume na kuanza kudhalilisha wanawake hembu jiulize je nataka kuishi maisha ya aina gani? Kama unataka kuwa mwanaume mwenye furaha na mwenye mafanikio tafuta mwanamke ambaye mtatengeneza maisha na mheshimu! MIMI NISHAMALIZA KAMA IMEKUGUSA SOMA KIMYAKIMYA
2019-01-07 08:50:00: Usibabaishwe na ndala za chooni Hazifiki ukumbini Bibi weeee pambana na ndoa yako Aibu kugombana na mwanamke mwenzio kisa anatembea na mumeo Unajipa presha Unakonda kwa mawazo Unapauka Unashindwa kumpa utulivu mumeo kisa umeona sms ya mapenzi Umeambiwa ana mchepuko Wakati weeee unakonda mwenzako ananenepa Weeeee una gubu ndani mwenzako anam'bembeleza mumeo Ya nini kujiweka roho juu kisa ndizi mzuzu Pendeza mwali wangu Tafuta kazi ya kufanya uzidi kuheshimika kwa kipato chako Mzidishie mapenzi mumeo Punguza mdomo mume ajiulize huyu mbona kabadilika yeye sasa aumize kichwa kuwaza mabadiliko yako
2019-01-07 08:50:00:
2019-01-07 08:52:00: Hii. Inaendelea mpaka inapofikia pia umeongea na mtu jambo au mumeo au mkeo mnaongea faragha kitu. Pia hutakiwi kukisimulia ukapita nalo jambo hilo mtaa kwa mtaa kila mtu alijue Hatakama hujaambiwa kwamba hii ni sirri yetu usiseme maadamu ni. Faragha hiyo ni siri yenu wawili usiseme kwa kutafuta ufahari wa Dunia hii
2019-01-07 08:52:00: Au. Ukute kule kukavuu. Usimulie Unaemsimulia kumbeyeye kwake kakuta maji meengii inakuajee
2019-01-07 08:52:00: Tusitafute husda na kijicho kwa lazima
2019-01-07 09:32:00: Nimeulizwa, NANUKUUl-‎ ‎“Ustadh shareef niliuliza hili suala. Lakini sijapata majibu. In sha llah ‎umeshughulika kwa kheir.‎ Suala... mwanamke wa kikristo amesilim. Baada ya muda mchache akatokea ‎mume kumuoa. Na kabla ya hapo alikuwa ana mume wa dini hiyo hiyo ya ‎ukiristo na walitengana kwa muda mrefu. 1. Je Ndoa yake ya mwanzo ‎itaanguka? 2. Na kuolewa na mume muislam je sharia ya eda hapa itamgusa?”‎ JIBU BISILLAH Mimi ndiyo kwanza naliona suala hilo!‎ Kimsingi, mwanandoa mmoja akisilimu basi ndoa yake na mwanandoa ‎mwenziwe asiye kuwa Mwislamu inakoma, papo hapo; isipokuwa kama ‎watasilimu wote, kwa pamoja au mmoja baada ya mwengine. ‎ Ila mwanamke huyo hawezi kuolewa na Mwislamu, papo hapo, hadi atakase ‎fuko la uzazi. Muhimu ijulikane wazi wazi kuwa hana mimba ya aliyekuwa ‎mumewe. Kwa mfano, apate hedhi kamili, kuanzia hali ya utohara hadi ‎kupata hedhi na kuingia utohara mwengine. Hapo tuna hakika kuwa hana ‎mimba. Hakai eda. Maana Eda ni ya Sharia za Kiislamu tu, na malengo yake ‎ni mawili. 1. Kutakasa fuko la uzazi, na 2. Na hili ndio muhimu zaidi, kutoa ‎fursa ya kurudiana, katika muhula wa Eda. ‎ Hivyo, mwanamume au mwanake aliyekwisha olewa katika dini yake, ‎ambayo si Uwislamu, akisilimu basi, kimsingi ndoa yake na asiyekuwa ‎Mwislamu inatenguka, isipokuwa kama mwanandoa mwenziwe naye ‎atasilimu. ‎ Hivyo, katika kesi uliyoitaja, mara tu baada ya mwanamke huyo kusilimu, ‎basi na ndoa yake na aliyekuwa mumewe mkiristo nayo inatenguka. ‎ Kwa vile umesema alikwisha tengana naye kwa muda mrefu, ndipo alipokuja ‎kuolewa na mume mwengine, natumai mume huyo mwemgine ni Mwislamu; ‎maana hujasema kama ni Mwislamu, - na ukapita muhula wa kutakasa fuko la ‎uzazi- basi ndoa yake hiyo ni sahihi kabisa, ikiwa imekamilsha nguzo na ‎masharti ya ndoa katika Uwislamu. ‎ Kesi kama hizo zilitokea wakati wa Mtume ‎ﷺ‎ baada ya Mtume ‎ﷺ‎ kuhamia ‎Madina na Waislamu wa Makka wakatakiwa nao wahame Makka kwenda ‎Madina. ‎ Wanawake wa Kiislamu, waliohamia Madina, na kuwacha nyuma waume zao ‎waliokuwa makafiri, walikuwa huru kuolewa na Waislamu wenziwao ‎walioko Madina, na baadhi yao waliolewa. ‎ Hata baada ya Suluhu ya Hudaybiyya, ambapo, kwa mujibu wa mapatano, ni ‎kwamba Mwislamu akikimbia Madina akaenda Makka, makafiri ‎hawatamrudisha Madina, vile Mwislamu akikimbia kutoka Makka akaenda ‎Madina, basi ni budi Waislamu wamrudishe Makka; na wapo baadhi ya ‎Maswahaba waliokimbia Makka wakaenda Madina, baada ya Hudaybiyya, na ‎ikabidi waurudishwe Makka, kwa mujibu wa maptano ya Hudaybiyyaa.‎ Ilipofika baadhi ya wanawake wa Kiislamu kukimbia Makka na kwenda ‎Madina, na Waislamu kutaka kuawrudisha Makka, baadhi ya wanawake hao ‎waligomma kurudishwa Makka, wakidi kuwa hawakubali kurudishwa kwa ‎makafiri. Hivyo, iliteremshwa aya za Qur’ani, kuunga mkono msimamo wa ‎wanawake hao waliokataa kurudishwa kwa makafiri, na hivyo kuwakataza ‎Waislamu kufanya hivyo. ‎ Mwenyezi Mungu amesema kuwambia Waislamu:‎ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا جَاءَكُمُ الْمُؤْمِنَاتُ مُهَاجِرَاتٍ فَامْتَحِنُوهُنَّ ۖ اللَّهُ أَعْلَمُ بِإِيمَانِهِنَّ ۖ فَإِنْ عَلِمْتُمُوهُنَّ ‏مُؤْمِنَاتٍ فَلَا تَرْجِعُوهُنَّ إِلَى الْكُفَّارِ ۖ لَا هُنَّ حِلٌّ لَّهُمْ وَلَا هُمْ يَحِلُّونَ لَهُنَّ ۖ وَآتُوهُم مَّا أَنفَقُوا ۚ وَلَا جُنَاحَ ‏عَلَيْكُمْ أَن تَنكِحُوهُنَّ إِذَا آتَيْتُمُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ ۚ وَلَا تُمْسِكُوا بِعِصَمِ الْكَوَافِرِ وَاسْأَلُوا مَا أَنفَقْتُمْ وَلْيَسْأَلُوا مَا ‏أَنفَقُوا ۚ ذَٰلِكُمْ حُكْمُ اللَّهِ ۖ يَحْكُمُ بَيْنَكُمْ ۚ وَاللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌ (10) وَإِن فَاتَكُمْ شَيْءٌ مِّنْ أَزْوَاجِكُمْ إِلَى الْكُفَّارِ ‏فَعَاقَبْتُمْ فَآتُوا الَّذِينَ ذَهَبَتْ أَزْوَاجُهُم مِّثْلَ مَا أَنفَقُوا ۚ وَاتَّقُوا اللَّهَ الَّذِي أَنتُم بِهِ مُؤْمِنُونَ (الممتحنة)‏‎ (‎‏11‏‎)‎ ‎“Enyi mlio amini! Wakikujieni wanawake Waumini walio hama, basi ‎wafanyeni mitahani- (wasailini), Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujua ‎zaidi Imani yao. Mkiwa mnawajua kuwa ni Waumini basi msiwarudishe kwa ‎makafiri. Wanawake hao si halali kwa hao makafiri, wala hao makafiri si ‎halali kwa wanawake Waumini. Na wapeni hao wanaume mahari walio toa. ‎Wala hakuna makosa kwenu (si …
2019-01-07 10:59:00: Njoo lbd ww utaelewa
2019-01-07 11:01:00: Hta cjaelewa
2019-01-07 11:03:00: Hujaelewa nn mpnz
2019-01-07 11:05:00: Njoo wew
2019-01-07 11:07:00: Buana mbona hivo
2019-01-07 11:07:00: Nakusubiri njoo