Manchester United fans

עמוד 6

Manchester United fans
2019-01-03 13:37:00: Welcome to DUTA . Use DUTA to get latest scores, sport and other news, entertainment, games and a lot more!
2019-01-03 13:37:00: Welcome to DUTA …
2019-01-03 13:55:00: Bonjour
2019-01-03 14:12:00: Hellow
2019-01-03 16:05:00: Ggm
2019-01-03 16:51:00: Manze kwani siskii transfer any ama ata rumors zinalink a star player na man united
2019-01-03 16:54:00: Broo
2019-01-03 16:54:00: Alfu npenda ulivoanika
2019-01-03 17:21:00: GET ALL THE PROVEN FIXED TRUE TICKETS ON THE PLANETs WE MAKE DREAMS COME TRUE YOUR NEEDS COMES FIRST COME GRAB THE OPPORTUNITY OF A LIFETIME AND JOIN THE WINNERS PLATFORM WE ARE GLAD TO SERVE YOU TAP HERE TO JOIN https://t.me/joinchat/AAAAAFNZ6UpvlHXDnURmlg Your time to make real money is here and now ITS NOW OR NEVER Those not in Telegram inbox me Right away ITS TIME WE GOT JANUARY COVERED.. NOW
2019-01-03 17:27:00: As in
2019-01-03 17:34:00: SOMA SIMULIZI HII UJIFUNZE KITU Binti mmoja ambaye alitokea katika Familia masikini alifanikiwa kusoma kwa shida mpaka kufanikiwa kuwa mwanasheria. Alipata kazi nzuri, akiishi katika nyumba nzuri ya kifahari. Pamoja na maisha mazuri lakini binti aliwasahau Kijijini kwao, alikua akituma pesa kidogo lakini hakutaka kwenda. Alitaka kuyasahau maisha yake yote ya mateso ya Kijijini. Hata kwa marafiki zake alijitambulisha kama kazaliwa Dar huku akidanganya kuwa Wazazi wake wamefariki na yeye alikua ndiyo Mtoto pekee, hii ni kwa sababu marafiki zake wote walikua wakitoka katika familia za kitajiri. Baada ya kukaa muda mrefu bila kufika Kijijini kwao wazazi wake walipata wasiwasi, huku wakiwa na wasiwasi kuwa kuna kitu kimempata, walichangisha nauli na Mama yake ambaye alikua mzee sana alipanda gari na kwenda kumuona mjini. Alipelekwa na jirani yao mmoja ambaye alikua akifahamu alipokua akiishi yule binti. Mama alifika na kukuta binti akiwa na afya nzuri, hana tatizo lolote. Binti alikasirika sana kumuona Mama yake kwani alikuja bila taarifa. Hakumsalimia vizuri na kila saa alikua akimlaumu kwanini hakupiga simu kwanza na kama ni hela si angesema amtumie. Mama huku akitokwa na machozi ya furaha alisema shida yake haikuwa hela bali kumuona mtoto wake baada ya muda mrefu. Binti alimdanganya Mama yake kua ile nyumba ni nyumba ya kampuni hivyo haruhusiwi kuishi na mtu yoyote kutokana na kazi aliokuwa anaifanya hivyo yeye asingeweza kuishi pale. Mama hakuwa na maneno, alimuambia hamna shida yeye kwakua ashamuona mwanae roho yake imetulia kwani hakuenda kukaa pale alienda tu kumuona. Binti alimuacha Mama yake apumzike siku ile na kesho yake ili siku inayofuata apande gari kurudi Kijijini. Siku iliyofuata baada ya kutoka kazini rafiki zake walikuja, kulikua na sehemu ambayo walishapanga kwenda. Walimkuta Mama yake akiwa nnje akipunga upepo. Walimsalimia vizuri na binti alipowaona aliwakimbilia kuwawahi ili Mama asijitambulishe kwao, alifika na kuwaharakisha rafiki zake ili waondoke. Walipotaka kujua ni nani, alijikuta anadanganya “ Huyo Mama amepotea njia, alipita hapa alikua anamtafuta Mtoto wake akakosea nyumba, sasa ndiyo namsaidia, aligonga kwangu kuomba simu, kwani alikua na namba ya mwanae kwenye kikaratasi. Nimeshampigia mwane atakuja kumchukua. Binti alionge akiamini kuwa kesho yake anamuondoa Mama yake mule ndani hivyo rafiki zake hawatamuona tena. Wakati akiongea yale maneno hakujua kuwa Mama yake anasikiliza, alistuka baadaye alipogeuka wakati anafungua mlango wa gari ili aingie. Mama yake alikua anatokwa na machozi, binti alijikaza kama vile hakumuona akaingia kwenye gari na kuondoka. _______ Baada ya mizinguko yake binti alirudi nyumbani, hakumkuta Mama yake, alimuuliza mfanyakazi wa ndani akasema hajui, alijua wameondoka wote kwani alimuacha nnje wakati yeye anatoka na gari. Binti alianza kupaniki, alisubiria mpaka usiku wa manane lakini Mama yake hakurejea. Hapo alianza kuchanganyikiwa, kichwa kikikumbuka maisha ya shida waliyopitia, namna ambavyo Mama yake alivyoteseka kwa ajili yake. Machozi yalinza kumtoka akijutia mambo aliyomfanyia Mama yake. Alimtafuta yule Kaka ambaye alimleta Mama yake pale lakini hakuwa akijua chochote. Usiku ulipita akiwa macho, asubuhi alilazimika kwenda kazini kwani alikua na kikao. Lakini mchana alishindwa kuvumilia, ilibidi kwenda Polisi na kuanza kumtafuta Mama yake lakini hakupatikana. Siku moja ilipita na hatimaye ya pili ilipita bila kumuona Mama yake, alianza kuwa na wasiwasi. Akiwa ofisini hajui hili wala lile rafiki yake mmoja alikuja, walianza kuongea akiwa hana raha kabisa. Rafiki yake alimuuliza tatizo lilikua nini akaamua kumuambia, lakini kabla hajaanza kuonge rafiki yake alisema. “Halafu shogaa nilitaka kusahau, unamkumbuka yule Bibi ambaye tulimkuta kwako jana?” ``Ndiyo namkumbuka! Amefanya nini? Umemuona wapi?” Alijikuta anadakia kwa haraka kutaka kujua. Basi jana wakati natoka kazini nikapita sehemu, nimekuta watu wamezunguka, kumbe kagongwa na bodaboda kaumia kichwani, watu wakawa wanakimbia kukwepa ushahidi. 🌹Na m…
2019-01-03 19:35:00: Liverpool lineup
2019-01-03 20:55:00: Hodi
2019-01-03 21:39:00: Rda ya hyu
2019-01-03 22:13:00: Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/3vfI3N6HFzvBDFR1pYioGv
2019-01-03 22:56:00: Mancity imepiga Liverpool firsthalf
2019-01-03 22:57:00: Yeah
2019-01-03 23:03:00: Gme imetoka ngpi
2019-01-03 23:04:00: Man 1
2019-01-03 23:04:00: Att
2019-01-03 23:04:00: Aty
2019-01-03 23:04:00: First half
2019-01-03 23:05:00: Gme imeisha
2019-01-03 23:05:00: Zi
2019-01-03 23:05:00: Fty
2019-01-03 23:08:00: Itaisha draw
2019-01-03 23:12:00: 1_0 Firsthalf Kun aguero
2019-01-03 23:29:00: Fty
2019-01-03 23:43:00: Its 2-1
2019-01-03 23:44:00: Sane amefunga ya city ya pili
2019-01-03 23:58:00: Kabisaaaaaaaà......hapo sasa
2019-01-03 23:59:00: Eeh
2019-01-04 01:29:00: What's this
2019-01-04 01:30:00: CHRONIC MUSIC PRESENTS # Fredy G -Kipenda roho Audio produced by @snashersnamatz Video directed by Pillo X https://youtu.be/YF8vh-2iV5g Please subscribe Comment And share
2019-01-04 01:32:00: This is a football related group Sio ya ngoma
2019-01-04 01:41:00: https://chat.whatsapp.com/GwQDADFI0oPFmhWIBAQW3J guys click this link to be added
2019-01-04 01:43:00: Hi
2019-01-04 01:44:00: Hi2
2019-01-04 01:51:00: 03/01/2019 …
2019-01-04 02:30:00: Eyhfsuyh
2019-01-04 02:41:00: Hi
2019-01-04 08:52:00: Roy Keane ,"Alexis Sanchez’s cameo was very promising too. Such a fantastic counter attacking goal to finish it off with the 2nd too. Another memorable day! #mufc."
2019-01-04 08:52:00: Roy Keane, "#mufc now six points off top four. Nearly halved the gap in four games. Huge test next week at Tottenham but Chelsea, defensively suspect and struggling for goals, look so vulnerable now."
2019-01-04 08:52:00: Lukaku: “You have to be ready, that’s what the manager asked for me before the game. Delighted we won the game.” #mufc [Sky]
2019-01-04 08:52:00: Roy Keane, "Ander Herrera’s contract expires in the summer. Manchester United have to make sure they sign him up. A really important player who gives his absolute all in every single match. Invaluable."
2019-01-04 08:53:00: Juventus and PSG now remain as the only unbeaten teams in Europe's Top 5 Leagues. TBG
2019-01-04 08:53:00: Pep: “Maybe people expected we would always be top but we are Manchester City, we are not Liverpool or Manchester United. We are Man City. In that situation, [not being top] is quite usual in the club’s whole history.“ Cc: @⁨Kweku.A⁩
2019-01-04 08:53:00: January 2018: Liverpool beat Man City to end their 30-game unbeaten run in all competitions. January 2019: Man City beat Liverpool to end their 20-game unbeaten run in the 2018/19 Premier League season. Revenge. TBG
2019-01-04 08:53:00: Am new here
2019-01-04 08:58:00: Resend this bro