2018-12-28 15:18:00:
Saa utu chapie
2018-12-28 15:25:00:
nko blank
2018-12-29 17:12:00:
Hahaha
2018-12-29 17:17:00:
Hehehe
2018-12-29 20:13:00:
MMU #Kunaswa Live on Camera having sex
youtu.be/Pj3JRgB_Tr0
2018-12-29 20:13:00:
Imenti House, Nairobi. Full Video Clip!!!
youtu.be/Pj3JRgB_Tr0
2018-12-29 21:56:00:
Kwani una jitumia ma vida nn
2018-12-29 22:50:00:
Gabby tushakupataa
2018-12-29 23:00:00:
tihi
2018-12-30 08:26:00:
Morning
2018-12-30 08:45:00:
Thanks for the backup
2018-12-30 15:26:00:
JOBS
Sales people needed in Nairobi by Qualis property management.
To start in January,
Be a team player
At least form 4 level of education
Experience in sales will be added advantage.
Customer support representative needed by Pluscom services.
Have IT knowledge.
Full-time or freelance
More information on the website
Apply on www.trendyjobbers.com
Trendy Jobbers Ltd.
STAFFING | FREELANCE | BUSINESS IT CONSULTANCY
2018-12-31 08:35:00:
End year BONANZA
Get FREE ksh.50 registration BONUS from SAHARAGAMES kenya.
All u need is to register here
http://www.saharagames.com/?ref=3333
Sighn up and claim your bonus.
Bonus unapewa unabet n WITHDRAW
Thank me later.
#SAHARAGAMES'KE
2019-01-02 11:06:00:
666666 is here already.
Let’s Pray Hard: 6 6 6 The Mark Of
The Beast Prophesy Finally
Fulfilled…
The
US
Senate
has
passed
the
Obama
Health
Bill
into
law.
The
implementation would commence soon.
This bill would require all Americans to be
implanted with a Radio Frequency
Identification (RFID) chip inorder to access
medical care.
The device will be implemented on the
forehead or on the arm. This is to fulfill the
prophesy in the Book of Revelation 13:15-18
concerning the MARK OF THE BEAST. Are
you still doubting the END TIME?
Do u know that the special car which was made for Obama is known as the BEAST? Get READY. The rapture is near! Revelations 13
is being played out right before us. Many
are still unaware.
1.
Why
is
the
chip
being
implanted
exactly
where
the
bible
says
it
would
be.
Why
on
the
hand
and
forehead.
Why
not anywhere else?
2. Why is being connected to your bank
account? Remember the Bible says you wont
be able to buy or sell without the mark 6 6
6. And guess what! The chip is connected to
your financial details. What breaks my
heart the most is that many people in the
church will not make it if Jesus comes now?
Many are unaware that the ends is near.
Don’t tell me that its advancement in
technology or development. If any area of
your life is not in sync with God’s word
repent and be converted. If you miss heaven
you can never miss hell…think about it.
Hell is not a pretty place, the worst part is
that it is for eternity… He who has ears, let him hear what the Spirit says to the church. Please rather than
post and forward senseless messages. Send
to everyone you know. Do the work of an
evangelist. PLEASE SHARE THIS MESSAGE
WITH ALL YOUR CONTACTS.
Have you ever wondered what should have
happened if we treat the Holy Bible the way
we treat our mobile phone?
And we really can’t live without it. Only
7% percent will re-send this message. Don’t
be of the 93% who will not share the
message. Satan said. “I wonder how
humans claim to LOVE GOD and disobey
Him, and claim they hate me yet they obey
me”
Do not send later. Share and send now. May
Almighty God grant success to everyone
who reads and sends this message? AMEN.
Talked GOD & DEVIL
DEVIL: Whatsapp is totally mine.
GOD: Why are you so sure?
DEVIL: Because many people use whatsapp for things that saddens you and pleases me.
GOD: You may have children in your hand, but I have my kids, using whatsapp as a way to evangelize and communicate among themselves without pleasing you and sadden me.
DEVIL: What is the evidence?
GOD: It's easy, my kids will send this message to all friends ... "Glory to God"
DEVIL: I doubt it! They will read and ignore.
GOD: My children, we will once again embarrass "Satan" make a chain and show the devil that whatsapp is not his, but a communication tool for my people! To evangelize and interact without grieving me!.
DEVIL: I accept the challenge! Pass to 10 persons in 5min.
God had delivered you.
"Love"
"Health"
"Peace"
"Friendship"
"Patience"
"Wisdom"
"Courage"
"Goodness"
, Phew! God really likes u ... What u prefer?
(God) send it to 10 people
(Devil): read only...
#Shared
2019-01-03 08:27:00:
VP wadau??
2019-01-03 08:29:00:
Pand zp upo
2019-01-03 17:34:00:
SOMA SIMULIZI HII UJIFUNZE KITU
Binti mmoja ambaye alitokea katika Familia masikini alifanikiwa kusoma kwa shida mpaka kufanikiwa kuwa mwanasheria. Alipata kazi nzuri, akiishi katika nyumba nzuri ya kifahari.
Pamoja na maisha mazuri lakini binti aliwasahau Kijijini kwao, alikua akituma pesa kidogo lakini hakutaka kwenda. Alitaka kuyasahau maisha yake yote ya mateso ya Kijijini.
Hata kwa marafiki zake alijitambulisha kama kazaliwa Dar huku akidanganya kuwa Wazazi wake wamefariki na yeye alikua ndiyo Mtoto pekee, hii ni kwa sababu marafiki zake wote walikua wakitoka katika familia za kitajiri.
Baada ya kukaa muda mrefu bila kufika Kijijini kwao wazazi wake walipata wasiwasi, huku wakiwa na wasiwasi kuwa kuna kitu kimempata, walichangisha nauli na Mama yake ambaye alikua mzee sana alipanda gari na kwenda kumuona mjini.
Alipelekwa na jirani yao mmoja ambaye alikua akifahamu alipokua akiishi yule binti. Mama alifika na kukuta binti akiwa na afya nzuri, hana tatizo lolote. Binti alikasirika sana kumuona Mama yake kwani alikuja bila taarifa.
Hakumsalimia vizuri na kila saa alikua akimlaumu kwanini hakupiga simu kwanza na kama ni hela si angesema amtumie. Mama huku akitokwa na machozi ya furaha alisema shida yake haikuwa hela bali kumuona mtoto wake baada ya muda mrefu.
Binti alimdanganya Mama yake kua ile nyumba ni nyumba ya kampuni hivyo haruhusiwi kuishi na mtu yoyote kutokana na kazi aliokuwa anaifanya hivyo yeye asingeweza kuishi pale.
Mama hakuwa na maneno, alimuambia hamna shida yeye kwakua ashamuona mwanae roho yake imetulia kwani hakuenda kukaa pale alienda tu kumuona.
Binti alimuacha Mama yake apumzike siku ile na kesho yake ili siku inayofuata apande gari kurudi Kijijini. Siku iliyofuata baada ya kutoka kazini rafiki zake walikuja, kulikua na sehemu ambayo walishapanga kwenda.
Walimkuta Mama yake akiwa nnje akipunga upepo. Walimsalimia vizuri na binti alipowaona aliwakimbilia kuwawahi ili Mama asijitambulishe kwao, alifika na kuwaharakisha rafiki zake ili waondoke.
Walipotaka kujua ni nani, alijikuta anadanganya “ Huyo Mama amepotea njia, alipita hapa alikua anamtafuta Mtoto wake akakosea nyumba, sasa ndiyo namsaidia, aligonga kwangu kuomba simu, kwani alikua na namba ya mwanae kwenye kikaratasi.
Nimeshampigia mwane atakuja kumchukua. Binti alionge akiamini kuwa kesho yake anamuondoa Mama yake mule ndani hivyo rafiki zake hawatamuona tena.
Wakati akiongea yale maneno hakujua kuwa Mama yake anasikiliza, alistuka baadaye alipogeuka wakati anafungua mlango wa gari ili aingie. Mama yake alikua anatokwa na machozi, binti alijikaza kama vile hakumuona akaingia kwenye gari na kuondoka.
_______
Baada ya mizinguko yake binti alirudi nyumbani, hakumkuta Mama yake, alimuuliza mfanyakazi wa ndani akasema hajui, alijua wameondoka wote kwani alimuacha nnje wakati yeye anatoka na gari.
Binti alianza kupaniki, alisubiria mpaka usiku wa manane lakini Mama yake hakurejea. Hapo alianza kuchanganyikiwa, kichwa kikikumbuka maisha ya shida waliyopitia, namna ambavyo Mama yake alivyoteseka kwa ajili yake.
Machozi yalinza kumtoka akijutia mambo aliyomfanyia Mama yake. Alimtafuta yule Kaka ambaye alimleta Mama yake pale lakini hakuwa akijua chochote. Usiku ulipita akiwa macho, asubuhi alilazimika kwenda kazini kwani alikua na kikao.
Lakini mchana alishindwa kuvumilia, ilibidi kwenda Polisi na kuanza kumtafuta Mama yake lakini hakupatikana. Siku moja ilipita na hatimaye ya pili ilipita bila kumuona Mama yake, alianza kuwa na wasiwasi.
Akiwa ofisini hajui hili wala lile rafiki yake mmoja alikuja, walianza kuongea akiwa hana raha kabisa. Rafiki yake alimuuliza tatizo lilikua nini akaamua kumuambia, lakini kabla hajaanza kuonge rafiki yake alisema.
“Halafu shogaa nilitaka kusahau, unamkumbuka yule Bibi ambaye tulimkuta kwako jana?”
``Ndiyo namkumbuka! Amefanya nini? Umemuona wapi?” Alijikuta anadakia kwa haraka kutaka kujua.
Basi jana wakati natoka kazini nikapita sehemu, nimekuta watu wamezunguka, kumbe kagongwa na bodaboda kaumia kichwani, watu wakawa wanakimbia kukwepa ushahidi.
🌹Na m…